CHEMI&COTEX kuadhimisha Miaka 25 ya Whitedent kwa Kuwazawadia Gari Wateja wake
Katika kusherehekea miaka 25 tangu kuanzishwa kwa dawa ya meno ya whitedent, kampuni ya chem&cotex, imeamua kuwazawadia wateja wake kwa kutoa gari itakayo shindaniwa, kwa wateja wake kwa kujaza idadi ya dawa za meno zilizo ndani ya gari hiyo, kampeni imezinduliwa rasmi mkoani morogoro.
| Mgeni rasmi katibu tarafa wa manispaa ya morogoro Pakalapakala Mlenge akiongea na akiongea na wakazi wa morogoro waliojitokeza katika hafla ya kusherehekea miaka 25 ya dawa ya meno ya whitedent. |
| Kikundi cha sanaa cha kikitoa burudani kwa baadhi ya wakazi wa morogor waliojitokeza katika katika kusherekea miaka 25 toka kuwepo kwa dawa ya whitedent. |
Post a Comment