Waziri Mkuu KASSIM MAJALIWA ateta na Watumishi wa Manispaa ya TEMEKE
| Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Temeke kwenye ukumbi wa Halmashauri hiyo jijiniDar es salam Julai 28, 2016. |
| Baadhi ya watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Temeke wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza nao kwenye ukumbi wa Halmashauri hiyo jijini Dar es salaam Julai 28, 2016. |
Post a Comment