Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mary (kulia) wakiwashukuru wananchi waliojitokeza kuchangia ujenzi na ukarabati wa Shule ya Sekondari ya Lindi iliyoungua moto hivi karibuni.
Harambee hiyo ilifanyika kwenye viwanja vya shule hiyo mjini Lindi Julai 17, 2017. Kushoto kwa Waziri Mkuu ni Mkuu wa mkoa wa Lindi, Godfrey Zambi. |
Post a Comment