Taswira ya Leo Kutoka Viwanja vya Saba saba Katika Banda la PPF
Afisa
Uendeshaji wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Sostenes Lyimo, akitoa maelezo kwa
Mkurugenzi Mkuu wa NSSF, Prof. Godious
Kahyarara, na wasaidizi wake wakati walipotembelea katika Banda la Maonesho la
Mfuko huo kwenye Viwanja vya Sabasaba
jana.
Afisa Mawasiliano wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Janeth Ezekiel,
akizungumza na mwananchi aliyefika kwenye Banda lao la Maonesho katika
Viwanja vya Sabasaba wakati akimwelekeza jambo kuhusu mafao ya Mfuko huo.
Afisa
Mwandamizi na Uwekezaji wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Anna Shayo, akimfafanulia
jambo mmoja kati ya wananchi waliofika katika Banda la Mfuko huo katika
Maonesho ya Kimataifa ya Biashara yanayoendelea kwenye Viwanja vya Mwalimu
Nyerere (Sabasaba) jijini Dar es Salaam.
Mwananchi akitoa maoni yake katika mashine maalum baada ya kupata huduma kwenye Banda la
Maonesho la Mfuko wa Pensheni wa PPF,
Maonesho ya KImataifa ya Biashara yanayoendelea Viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.
Mwananchi akitoa maoni yake katika mashine maalum baada ya kupata huduma kwenye Banda la
Maonesho la Mfuko wa Pensheni wa PPF,
Maonesho ya KImataifa ya Biashara yanayoendelea Viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.
Afisa Huduma kwa Wateja wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Mwajuma
Msina, akimkabidhi Kitambulisho Mwanachama Mohamed Hassan (23) aliyejiunga na
huduma ya ‘Wote Scheme’ wakati alipotembelea kwenye Banda la Maonesho la Mfuko
huo katika Maonesho ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea kwenye Viwanja vya
Mwalimu Nyerere (Sabasaba) jijini Dar es Salaam.
Meneja Uhusiano wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Lulu Mengele, akimuongoza Mkurugenzi Mkuu wa PPF William
Erio (kulia) na Mkurugenzi Mkuu wa NSSF, Prof. Godious Kahyarara (katikati)
walipokuwa wakitembelea Banda la Mfuko huo kwenye maonesho ya Biashara ya
Kimataifa viwanja vya Sabsaba.
Maafisa wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Saluna Aziz Ally
(kulia) na Glory Maboya, wakiendelea kutoa huduma kwa wateja wao waliofika
katika Banda la maonesho Sabasaba la mfuko huo.
Sehemu ya Wananchi wakiwa ndani ya Banda la PPF wakipata
huduma na maelezo kuhusu namna ya kujiunga na mfuko huo na jinsi wanachama
wanavyoweza kufaidika kupitia michango yao.
Sehemu ya Wananchi wakiwa ndani ya Banda la PPF wakipata huduma na maelezo kuhusu namna ya kujiunga na mfuko huo na jinsi wanachama wanavyoweza kufaidika kupitia michango yao.
Sehemu ya Wananchi wakiwa ndani ya Banda la PPF wakipata huduma na maelezo kuhusu namna ya kujiunga na mfuko huo na jinsi wanachama wanavyoweza kufaidika kupitia michango yao.
Afisa Msaidizi wa Huduma kwa Wateja wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Mohamed Siaga akifurahia huku kionyesha tuzo walizokabidhiwa.
Baadhi ya wafanyakazi wa PPF wakiwa na furaha baada ya kukabidhiwa kikombe chao.
Mkurugenzi Mkuu wa PPF, William Erio, akihojiwa na Waandhi wa habari baada ya Mfuko wake kukabidhiwa Kikombe cha ushindi wa kwanza wa Kundi la Mifuko ya Hifadhi ya jamii na Makampuni ya Bima katika Maonesho ya 40 ya Biashara ya Kimataifa Sabasaba.
Picha ya pamoja......
Post a Comment