Angalia Orodha ya Wakurugenzi wa Majiji, Manispaa, Miji walioteuliwa na Dkt MAGUFULI
Katibu Mkuu wa TAMISEMI Eng. Mussa
Iyombe akisoma majina ya Wakurugenzi wa majiji matano, Manispaa 21, miji 22 na
Halmashauri za Wilaya 137 uteuzi uliofanywa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli Ikulu jijini Dar es Salaam.
|
TAARIFA
KWA VYOMBO VYA HABARI
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 07 Julai, 2016
amefanya uteuzi wa wakurugenzi wa halmashauri za majiji 5, Manispaa 21, Miji 22
na Wilaya (DC) 137 za Tanzania Bara.
Uteuzi huo
umetangazwa na Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
(TAMISEMI) Mhandisi Mussa Iyombe ambapo kati ya wakurugenzi wote 185
walioteuliwa, 65 wameteuliwa kutoka orodha ya wakurugenzi wa zamani na 120 ni
wakurugenzi wapya.
Orodha ya wakurugenzi
walioteuliwa kulingana na mikoa yao ni kama ifuatavyo;
ARUSHA
1.
Arusha Jiji - Athumani Juma Kihamia
2.
Arusha DC - Dkt. Wilson Mahera Charles
3.
Karatu DC - Banda Kamwande Sonoko
4.
Longido DC - Jumaa Mohamed Mhiwapijei
5.
Meru DC - Kazeri Christopher Japhet
6.
Monduli DC - Stephen Anderson Ulaya
7.
Ngorongoro DC - Raphael John Siumbu
DAR ES SALAAM
1.
Dar es salaam Jiji - Siporah Jonathan Liana
2.
Kinondoni Manispaa - Aron
Titus Kagurumjuli
3.
Temeke Manispaa - Nassibu Bakari Mmbaga
4.
Ilala Manispaa - Msongela Nitu Palela
5.
Kigamboni Manispaa - Stephen
Edward Katemba
6.
Ubungo Manispaa - Kayombo Lipesi John
DODOMA
1.
Dodoma Manispaa - Dkt. Leonard M. Masale
2.
Kondoa DC - Kibasa
Falesy Mohamed
3.
Kondoa Mji - Khalifa
Kondo Mponda
4.
Mpwapwa DC - Mohamed
Ahamed Maje
5.
Kongwa DC - Mhandisi
Ngusa Laurent Izengo
6.
Chemba DC - Semistatus
Hussein Mashimba
7.
Chamwino DC - Athuman
Hamis Masasi
8.
Bahi DC - Rachel
Marcel Chuwa
GEITA
1.
Bukombe DC - Dionis
Maternus Nyinga
2.
Chato DC - Mhandisi
Joel Bahahari
3.
Geita DC - Ally
Abdallah Kidwaka
4.
Geita Mji - Modest
J. Apolinaly
5.
Mbogwe DC - Mahwago
Elias Kayandabila
6.
Nyang'wale DC - Carlos K. Gwamagobe
IRINGA
1.
Iringa Manispaa - William Donald Mafwele
2.
Mafinga Mji - Saada
S. Mwaruka
3.
Mufindi DC - Riziki
Salas Shemdoe
4.
Iringa DC - Robert
Mgendi Magunya
5.
Kilolo DC - Aloyce
Kwezi
KAGERA
1.
Biharamulo DC - Wende Israel Ng'ahala
2.
Bukoba DC - Abdulaaziz
Jaad Hussein
3.
Bukoba Manispaa - Makonda Kelvin Stephen
4.
Karagwe DC - Godwin
Moses Kitonka
5.
Kyerwa DC - Shedrack
M. Mhagama
6.
Missenyi DC - Limbe Berbad Maurice
7.
Muleba DC - Emmanuel
Shelembi Luponya
8.
Ngara DC - Aidan
John Bahama
KATAVI
1.
Mlele DC - Alex
Revocatus Kagunze
2.
Mpimbwe DC - Erasto
Nehemia Kiwale
3.
Mpanda DC - Ngalinda
Hawamu Ahmada
4.
Mpanda Manispaa - Michael Francis Nzyungu
5.
Nsimbo DC - Joachim
Jimmy Nchunda
KIGOMA
1.
Buhigwe DC - Anosta Lazaro Nyamoga
2.
Kakonko DC - Lusubilo Joel Mwakabibi
3.
Kasulu DC - Godfrey
Msongwe Masekenya
4.
Kasulu Mji - Fatina
Hussein Laay
5.
Kigoma Ujiji - Manispaa - Judethadeus
Joseph Mboya
6.
Kigoma DC - Hanji
Yusuf Godigodi
7.
Kibondo DC - Shelembi Felician Manolo
8.
Uvinza DC - Weja
Lutobola Ng'olo
KILIMANJARO
1.
Manispaa ya Moshi - Michael Nelson Mwandezi
2.
Hai DC - Yohana
Elia Sintoo
3.
Siha DC - Valerian
Mwargwe Juwal
4.
Same DC - Shija
Anaclaire
5.
Mwanga DC - Golden
A. Mgonzo
6.
Rombo DC - Magreth
Longino John
7.
Moshi DC - Emalieza
Sekwao Chilemeji
LINDI
1.
Kilwa DC - Bugingo
I. N. Zabron
2.
Lindi DC - Samwel
Warioba Gunzar
3.
Lindi Manispaa - Jomaary Mrisho Satura
4.
Liwale DC - Justine
Joseph Monko
5.
Nachingwea DC - Bakari Mohamed Bakari
6.
Ruangwa DC - Andrea Godfrey Chezue
MANYARA
1.
Babati Mji - Fortunatus
Hilario Fwema
2.
Hanang DC - Bryceson
Paul Kibasa
3.
Mbulu DC - Festi
Fungameza Fwema
4.
Mbulu Mji - Anna
Philip Mbogo
5.
Simanjiro DC - Yefred Edson Myezi
6.
Kiteto DC - Tamim
Kambona
7.
Babati DC - Hamis
Iddi Malinga
MARA
1.
Manispaa ya Musoma - Fidelica
Gabriel Myovela
2.
Bunda DC - Amos
Jeremiah Kusaja
3.
Bunda Mji - Janeth
Peter Mayanja
4.
Butiama DC - Solomon
Kamlule Ngiliule
5.
Musoma DC - Flora Rajab Yongolo
6.
Serengeti DC - Juma Hamsini Seph
7.
Rorya DC - Charles
Kitanuru Chacha
8.
Tarime DC - Apoo
Castro Tindwa
9.
Tarime Mji - Hidaya
Adam Usanga
MBEYA
1.
Busokelo DC - Eston Paul Ngilangwa
2.
Chunya DC - Sofia
Kumbuli
3.
Kyela DC - Mussa
Joseph Mgata
4.
Mbarali DC - Kivuma
Hamis Msangi
5.
Mbeya DC - Ameichiory
Biyengo Josephat
6.
Mbeya Jiji - Zacharia
Nachoa Ntandu
7.
Rungwe DC - Loema
Isaya Peter
SONGWE
1.
Momba DC - Adrian
Jovin Jungu
2.
Tunduma Mji - Valery
Alberth Kwemba
3.
Mbozi DC - Edna
Amulike Mwaigomole
4.
Ileje DC - Haji
Mussa Mnasi
5.
Songwe DC - Elias
Philemon Nawela
MOROGORO
1.
Gairo DC - Agnes
Martin Mkandya
2.
Kilombero DC - Dennis
Lazaro Londo
3.
Ifakara Mji - Francis Kumba Ndulane
4.
Kilosa DC - Kessy
Juma Mkambala
5.
Morogoro DC - Sudi
Mussa Mpili
6.
Morogoro Manispaa - John Kulwa Magalula
7.
Mvomero DC - Florent
Laurent Kyombo
8.
Ulanga DC - Audax
Christian Rukonge
9.
Malinyi DC - Marcelin
Rafael Ndimbwa
MTWARA
1.
Mtwara DC - Omari Juma Kipanga
2.
Mtwara Mikindani Manispaa - Beatrice
Dominic Kwai
3.
Masasi Mji - Gimbana
Emmanuel Ntayo
4.
Masasi DC - Mkwazu
M. Changwa
5.
Nanyumbu DC - Hamis
Hassan Dambaya
6.
Newala DC - Mussa
Mohamed Chimae
7.
Newala Mji - Andrew
Frank Mgaya
8.
Tandahimba DC - Said Ally Msomoka
9.
Nanyamba Mji - Oscar
Anatory Ng'itu
MWANZA
1.
Mwanza Jiji - Kiomoni
Kibamba Kiburwa
2.
Ilemela Manispaa - John Paul Wanga
3.
Kwimba DC - Pendo
Anangisye Malabeja
4.
Magu DC - Lutengano
George Mwalwiba
5.
Misungwi DC - Eliud Leonard Mwaiteleke
6.
Ukerewe DC - Tumaini Sekwa Shija
7.
Buchosa DC - Crispian
Methew Luanda
8.
Sengerema DC - Magesa
M. Boniphace
NJOMBE
1.
Njombe Mji - Iluminata
Leonald Mwenda
2.
Makambako Mji - Paul Sostenes Malala
3.
Makete DC - Francis
Emmanuel Namaumbo
4.
Njombe DC - Monica Peter Kwiluhya
5.
Ludewa DC - Ng'wilabuzu
Ndatwa Ludigija
6.
Wanging'ombe DC - Amina
Mohamed Kiwanuka
PWANI
1.
Bagamoyo DC - Azimina
A. Mbilinyi
2.
Chalinze DC - Edes Philip Lukoa
3.
Kibaha DC - Tatu
Seleman Kikwete
4.
Kibaha Mji - Jenifer
Christian Omolo
5.
Kisarawe DC - Mussa L. Gama
6.
Mafia DC - Erick
Mapunda
7.
Mkuranga DC - Mshamu
Ally Munde
8.
Kibiti DC - Alvera
Kigongo Ndabagoye
9.
Rufiji DC - Salum
Rashid Salum
RUKWA
1.
Kalambo DC - Simon Ngagani Lyamubo
2.
Sumbawanga DC - Nyangi John Msemakweli
3.
Sumbawanga Manispaa - Hamid
Ahmed Njovu
4.
Nkasi DC - Julius
M. Kaondo
RUVUMA
1.
Mbinga DC - Gumbo
Samanditu Gumbo
2.
Mbinga Mji - Robert
Kadaso Mageni
3.
Namtumbo DC - Christopher
Michael Kilungu
4.
Nyasa DC - Oscar
Albano Mbuzi
5.
Songea DC - Simon
Michael Bulenganija
6.
Madaba DC - Shafi
Kassim Mpenda
7.
Tunduru DC - Abdallah Hussein Mussa
8.
Songea Manispaa - Tina Emelye Sekambo
SHINYANGA
1.
Kishapu DC - Stephen
Murimi Magoiga
2.
Msalala DC - Berege
Sales Simon
3.
Shinyanga DC - Mark
Emmanuel Malembeka
4.
Kahama Mji - Anderson
David Msumba
5.
Shinyanga Manispaa - Lewis Kweyemba Kalinjuna
6.
Ushetu DC - Michael
Augustino Matomola
SIMIYU
1.
Bariadi DC - Abdallah
Mohamed Malela
2.
Bariadi Mji - Melkizedek
Oscar Humbe
3.
Itilima DC - Mariano
Manyingu
4.
Maswa DC - Fredrick
Damas Sagamiko
5.
Busega DC - Anderson
Njiginya
6.
Meatu DC - Said
F. Manoza
SINGIDA
1.
Ikungi DC - Rustika
William Turuka
2.
Iramba DC - Linno
Pius Mwageni
3.
Mkalama DC - Martin Msuha Mtanda
4.
Manyoni DC - Charles Edward Fussi
5.
Itigi DC - Luhende
Pius Gerald
6.
Singida DC - Rashid
Mohamed Mandoa
7.
Singida Manispaa - Kizito L. Brava
TABORA
1.
Igunga DC - Revocatus
Lubigili Kuuli
2.
Kaliua DC - John
Marco Pima
3.
Nzega DC - Jacob
James Mtalitinya
4.
Nzega Mji - Phillimon
Mwita Magesa
5.
Sikonge DC - Simon
Saulo Ngatunga
6.
Tabora Manispaa - Bosco Addo Ndunguru
7.
Urambo DC - Magreth
Nakainga
8.
Tabora -Uyui - Hadija Maulid Makuani
TANGA
1.
Tanga Jiji - Daudi
R. Mayeji
2.
Korogwe DC - George John Nyaronga
3.
Korogwe Mji - Jumanne Kiangoshauri
4.
Muheza DC - Luiza
Osmin Mlelwa
5.
Handeni Mji - Keneth
K. Haule
6.
Handeni DC - William Methew Mafukwe
7.
Pangani DC - Sabas
Damian Chambasi
8.
Mkinga DC - Mkumbo
Emmanuel Barnabas
9.
Bumbuli DC - Peter Isaiah Nyalali
10. Kilindi
DC - Clemence Andagile Mwakasenda
11. Lushoto
DC - Kazimbaya Makwega Adeladius
Wakurugenzi wote
walioteuliwa wanatakiwa kufika Ikulu Jijini Dar es salaam siku ya Jumanne
tarehe 12 Julai, 2016 saa tatu asubuhi kwa ajili ya kula kiapo cha ahadi ya
uadilifu kwa viongozi wa umma.
Post a Comment