Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja
Jenerali Projest Rwegasira, akizungumza wakati wa Mahafali ya kufunga Mafunzo ya Kozi ya Uongozi Daraja la Pili ,
yaliyofanyika Chuo cha Zimamoto na Uokoaji Chogo, Wilayani Handeni, jijini
Tanga.Ambapo aliwaasa wahitimu kwenda kulihudumia Taifa kwa uadilifu.
(Picha
na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi)
|
Post a Comment