Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, Yamuaga Rasmi Rais JAKAYA KIKWETE
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete
akisaalimiana na baadhi ya wafanyakazi wa Tume ya Haki za Binadamu na
Utawala Bora wakati alipotembelea makao makuu ya Tume hiyo na kuzungumza
na viongozi na wafanyakazi na kuwaaga rasmi leo.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete
akitoa hotuba yake kwa viongozi na wafanyakazi wa Tume ya Haki za
Binadamu na Utawala Bora katika ukumbi wa mikutano wa Haki House makao
makuu ya Tume hiyo jijini Dar es Salaam leo.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete
akiteta jambo na mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora
Bwana Tom Nyanduga wakati Rais alipotembelea na kuzungumza na
wafanyakazi wa Tume hiyo jijini Dar es Salaam leo.
Mwenyekiti wa Tume ya Haki za
Binadamu na Utawala Bora Mh.Tom Nyanduga akimkabidhi Rais Dkt.Jakaya
Mrisho Kikwete tuzo maalum kwa kutambua mchango wake katika kuboresha
haki za binadamu na Utawala Bora nchini muda mfupi baada ya Rais Kikwete
kuhutubia na kuagana rasmi na wafanyakazi wa Tume hiyo jijini Dar es
Salaam leo.Watatu kushoto ni Waziri wa Katiba na Sheria Dkt.Asha Rose
Migiro na kulia ni Mwanasheria Mkuu wa Serkali Mh.George Masaju.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete
akiagana na Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu Bwana Tom Nyanduga
pamoja na Waziri wa Katiba na Sheria Dkt.Asha Rose Migiro baada ya Rais
Kuwahutubi na kuagana na wafnyakazi wa tume hiyo leo.
(Picha na Freddy Maro)
Post a Comment