St MARY'S Mbeya Wafanya Mahafali ya Darasa la Saba
| Wanafunzi wa shule ya Kimataifa ya St.Marrys Forest jijini Mbeya wakitoa burudani katika mahafali ya Darasa la saba katika shule hiyo yaliyofanyika mwishoni mwa wiki jijini Mbeya . |
| Wahitimu wa Elimu ya Msingi katika shule ya Kimataifa ya St.Marrys Forest Jijini Mbeya. |
| Wazazi na walezi. |
| Uongozi wa shule ukitoa zawadi kwa wanafunzi walifanya vizuri katika masomo yao kwa upande wa wanafunzi wote kwa ujumla waliobaki shuleni hapo. |
| Wahitimu waliofanya vizuri katika masomo yao wakipatiwa zawadi nauongozi wa shule hiyo. |
| Wazazi wakitoa pongezi zao kwa watoto wao ambao wamehitimu elimu ya msingi darasa la saba katika shule hiyo ya kimataifa ya St.Marys Forest jijini Mbeya. |
| Picha Jamiimojablog. |
Post a Comment