Rais JAKAYA KIKWETE na Waziri JOHN MAGUFULI Washiriki Mazishi ya Diwani, BAGAMOYO
Rais
 Jakaya Mrisho Kikwete akiweka mchanga kaburini huku Waziri wa Ujenzi 
Dkt John Pombe Magufuli akisubiri zamu yake wakati wa mazishi ya 
Marehemu Iddi Ubwa Mazongera aliyekuwa Diwani wa Kata ya Yombo Wilayani 
Bagamoyo mkoa wa Pwani aliyefariki jana na kuzikwa Agosti 18, 2015  
kwenye makaburi ya Kichangani, Bagamoyo.
Rais
 Jakaya Mrisho Kikwete na Waziri wa Ujenzi Dkt John Pombe Magufuli 
wakimfariji mjane wa Marehemu Iddi Ubwa Mazongera  aliyekuwa Diwani wa 
Kata ya Yombo Wilayani Bagamoyo  mkoa wa Pwani aliyefariki jana na 
kuzikwa leo kwenye makaburi ya Kichangani, Bagamoyo. Katikati ni Mama 
Salma Kikwete.
PICHA NA IKULU


Post a Comment