Header Ads

Waziri Mkuu KASSIM MAJALIWA azungumza na Watumishi wa Umma Monduli


Waziri Mkuu,Kassim Majaliwa akizungumza na watumishi wa serikali na Halmashauri ya wilaya ya Monduli kwenye ukumbi wa halmashauri ya wilaya ya Monduli Desemba 4, 2016.

Baadhi ya watumishi wa serikali na halmashauri ya wilaya ya Monduli wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza nao kwenye ukumbi  wa halmashauri ya wilaya ya Monduli Desemba 4, 2016.

(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments

Powered by Blogger.