Header Ads

Komredi Phillip Mangula Asaini Kitabu cha Maombolezo Kufuatia Msiba wa Fidel Castro

 Makamu Mwenyekiti wa CCM-Bara, Philip Mangula akisaini kitabu cha maombolezo ya kifo cha Rais Mstaafu wa Cuba, Fidel Castro, nyumbani kwa Balozi wa Cuba hapa nchini, Jorge Luis Lopez Tormo (aliyesimama), Mtaa wa Alli Bin Said, Oysterbay jijini Dar es Salaam.

 Makamu Mwenyekiti wa CCM-Bara, Philip Mangula akimpa pole  Balozi wa Chuba hapa nchini, Jorge Luis Lopez Tormo baada ya kusaini kitabu cha maombolezo ya kifo cha Rais Mstaafu wa Cuba, Fidel Castro, nyumbani kwa balozi huyo, Mtaa wa Alli Bin Said, Oysterbay jijini Dar es Salaam, Kushoto ni Waziri wa zamani Adamu Malima ambaye naye alifika kusaini kitabu hicho.

  Makamu Mwenyekiti wa CCM-Bara, Philip Mangula akimpa pole  Balozi wa Chuba hapa nchini, Jorge Luis Lopez Tormo baada ya kusaini kitabu cha maombolezo ya kifo cha Rais Mstaafu wa Cuba, Fidel Castro, nyumbani kwa balozi huyo,Mtaa wa Alli Bin Said, Oysterbay jijini Dar es Salaam, Kushoto ni Waziri wa zamani Adamu Malima ambaye naye alifika kusaini kitabu hicho.

  Makamu Mwenyekiti wa CCM-Bara, Philip Mangula akimpa pole  Balozi wa Chuba hapa nchini, Jorge Luis Lopez Tormo baada ya kusaini kitabu cha maombolezo ya kifo cha Rais Mstaafu wa Cuba, Fidel Castro, nyumbani kwa balozi huyo,Mtaa wa Alli Bin Said, Oysterbay jijini Dar es Salaam. 

 Makamu Mwenyekiti wa CCM-Bara, Philip Mangula akizungumza na Balozi wa Chuba hapa nchini, Jorge Luis Lopez Tormo baada ya kusaini kitabu cha maombolezo ya kifo cha Rais Mstaafu wa Cuba, Fidel Castro, nyumbani kwa balozi huyo, Mtaa wa Alli Bin Said, Oysterbay jijini Dar es Salaam. 

Msaidizi wa Balozi wa Chuba hapa nchini Sultan Hamud Said akimkaribsha Makamu Mwenyekiti wa CCM, Bara, Philip Mangula alipowasili kwenye ubalozi huo kusaini kitabu cha maombolezo ya kifo cha Rais mstaafu wa Cuba Fidel Castro. 

No comments

Powered by Blogger.