Header Ads

Dkt MAGUFULI aagiza Machinga, Wachimbaji wadogo na Wafugaji Wasibughudhiwe

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika kikao cha pamoja na Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan, Naibu Waziri wa TAMISEMI Selemani Jafo pamoja na  Katibu Mkuu wa TAMISEMI Mussa Iyombe. 




Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan mara baada ya kumaliza kikao chao kilicho wahusisha Naibu Waziri wa TAMISEMI Selemani Jafo pamoja na  Katibu Mkuu wa TAMISEMI Mussa Iyombe Ikulu jijini Dar es Salaam. 

PICHA NA IKULU

No comments

Powered by Blogger.