Header Ads

Wabunge wa Tanzania Wasaini Maazimio ya " TB Caucus " Mjini Dodoma


Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Mhe.Ummy Mwalimu akisaini Maazimio ya Wabunge wa Tanzania yenye dhamira ya kutokomeza ugonjwa wa kifua kikuu" TB Caucus ", mtandao huo ulianzishwa jijini Barcelona, Hispania Oktoba 2014 na kuitwa Mtandao wa Wabunge duniani "The Global TB Caucus.
Mjumbe wa Mtandao wa wabunge duniani,Mhe. Faustine Ndugulile akisaini maazimio hayo.
Mwenyekiti wa kamati ya huduma za jamii, Mhe. Peter Serukamba akisaini maazimio hayo ya wabunge wa Tanzania.nchini Tanzania takribani wagonjwa 160,000 huugua kifua kikuu  kila mwaka.


Picha ya pamoja ya maofisa toka wizara ya afya na wadau wa Tb wakiwa na Waziri wa Afya na mjumbe wa mtandao wa wabunge duniani.

No comments

Powered by Blogger.