Header Ads

Profesa MBARAWA afanya Mazungumzo na Naibu Waziri wa TURKMENISTAN

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Prof. Makame Mbarawa akijadiliana jambo  na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Turkmenistan Bw. B. Mariyew jijini Ashgabat. 

Viongozi hao wamekubaliana kushirkiana katika sekta ya gei na ujenzi wa Miundombinu.

No comments

Powered by Blogger.