Header Ads

Katibu Mkuu wa CCM, ABDULRAHMAN KINANA akutana na Balozi wa Sweden

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimkaribisha, Balozi wa Sweden hapa nchini Katrina Rangnitt, kwa ajili ya mazungumzo, Ofisin kwake, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Mtaa wa Lumumba jijini Dar es Salaam, leo.   
 Katibu wa NEC, Siasa na ushirikiano wa Kimataifa, Dk Pindi Chana akimsalimia Balozi wa Sweden hapa nchini Tanzania, Katrina Rangnitt, kabla ya Balozi huyo kufanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (katikati), katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, mtaa wa Lumumba jijini Dar es Salaam, leo.

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akizungumza na Balozi wa Sweden hapa Nchini Tanzania, Katrina Rangnitt, Ofiini kwake, katika Ofisi Ndogo ya makao Makuu ya CCM, Mtaa wa Lumumba jijini Dar es Salaam, leo.

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akizungumza na Balozi wa Sweden hapa Nchini Tanzania, Katrina Rangnitt, Ofiini kwake, katika Ofisi Ndogo ya makao Makuu ya CCM, Mtaa wa Lumumba jijini Dar es Salaam, leo. Kulia ni Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Dk. Pindi Chana. 

PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO

No comments

Powered by Blogger.