Balozi wa Canada Amtembelea Waziri UMMY MWALIMU ofisini Kwake
| Balozi Ian Myles na Waziri Ummy Mwalimu wakifurahia mazungumzo hayo mara baada ya kukutana kwenye ofisi ya Wizara ya Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto. |
| Waziri Ummy Mwalimu akiongea na Balozi Ian Myles (kushoto), kulia mwa Balozi ni ofisa wa Ubalozi wa Canada Susan Steffen. |
| Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Ummy Mwalimu akiongea na Balozi wa Canada nchini Tanzania Ian Myles ofisini kwake. |
Post a Comment