Header Ads

Tanzania na Zambia zimekubaliana Kuifufua Upya Reli ya Tazara na Bomba la Tazama





Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake Rais wa Zambia Edgar Chagwa Lungu wakipita katikati ya Gadi ya Mapokezi iliyoandaliwa na Jeshi la Wananchi wa Tanzania kwenye viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam.

. Rais wa Zambia Edgar Chagwa Lungu akizungumza na wanahabari mara baada ya kumaliza mazungumzo yake na mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli Ikulu jijini Dar es Salaam.



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wanahabari mara baada ya kumaliza mazungumzo yake na Mgeni wake Rais wa Zambia Edgar Chagwa Lungu Ikulu jijini Dar es Salaam.

No comments

Powered by Blogger.