Header Ads

Dkt JAKAYA KIKWETE awatunuku Digrii Wahitimu 1,179 wa Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu DUCE


 Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (Udsm), Rais mstaafu wa Awamu ya Nne, Jakaya Kikwete (wa pili kulia) akimkabidhi zawadi mwanafunzi bora wa Chuo Kikuu Kishiriki cha  Elimu Dar es Salaam (Duce), Haji Mohamed wakati wa Mahafali ya Tisa ya chuo hicho leo. Jumla ya wanafunzi 1,179 walihitimu na kutunukiwa digrii za awali.

Digrii walizotunukiwa ni Elimu ya Jamii na Ualimu (B.A.Ed.) wanafunzi 864, Elimu katika Elimu ya Jamii (B.E.D. Arts) wanafunzi 52, Elimu katika Sayansi (B.Ed. Science) wahitimu 73, Sayansi ya Ualimu (B.Sc.Ed.) wahitimu 190.

 Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (Udsm), Rais mstaafu wa Awamu ya Nne, Jakaya Kikwete (hayupo pichani) kuwatunuku digrii ya awali ya elimu ya jamii  na ualimu  wakati wa Mahafali ya Tisa ya chuo hicho leo jioni. Jumla ya wanafunzi 864 walitunukiwa digrii hiyo.

 wakivaa kofia zao.

 Wakifurahi kwa kucheza muziki.

 Mhitimu Bora wa Kike akipatiwa zawadi.

 Warda Jumanne akipatiwa zawadi ya kuwa mmoja wa wanafunzi Bora wa Kike.

 Dk. Kikwete akifurahia jambo na Ngumbullu.

 JK akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa chuo hicho.


No comments

Powered by Blogger.