Header Ads

Dkt MAGUFULI amuandalia Dhifa ya Kitaifa Rais wa Zambia EDGAR LUNGU

 Rais Mstaafu wa awamu ya Pili AlhajAli Hassan Mwinyi,Rais Mstaafu wa Awamu ya nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na Rais Mstaafu wa Zanzibar Dkt. Amani Abeid Karume wakielekea kwenye dhifa ya kitaifa iliyoandaliwa na Rais Dkt John Pombe Magufuli kwa heshima ya Rais wa Jamhuri ya Zambia Mhe. Edgar Lungu katika ukumbi wa Ikulu jijini Dar es salaam usiku huu.

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Ali Mohamed Shein, Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa wakielekea kwenye dhifa ya kitaifa iliyoandaliwa na Rais Dkt John Pombe Magufuli kwa heshima ya Rais wa Jamhuri ya Zambia Mhe. Edgar Lungu katika ukumbi wa Ikulu jijini Dar es salaam usiku huu.

 Rais Dkt John Pombe Magufuli na  Rais wa Jamhuri ya Zambia Mhe. Edgar Lungu katika ukumbi wa Ikulu kwa dhifa hiyo ya kitaifa aliyomwandalia mgeni wake Ikulu jijini Dar es salaam usiku huu.

 Meza kuu ikiwa imesimama kwa Wimbo wa Taifa.

 Rais Dkt Magufuli akimsindikiza mgeni wake Rais Edgar Lungu wa Zambia kusalimiana na viongozi mbalimbali.

 Rais Edgar Lungu wa Zambia akisalimiana na Rais Mstaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi, Kulia ni Naibu Spika Dkt Tulia Ackson.

 Rais Edgar Lungu wa Zambia akisalimiana na Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete.

 Rais Edgar Lungu wa Zambia akisalimiana na Naibu Spika Dkt Tulia Ackson.

 Rais Edgar Lungu wa Zambia akisalimiana na Spika Mstaafu Mhe. Pius Msekwa.

 Rais Edgar Lungu wa Zambia akisalimiana na Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Mohamed Chande Othman.

 Rais Edgar Lungu wa Zambia akisalimiana na Rais Mstaafu wa Zanzibar Dkt Amani Abeid Karume.

 Rais Edgar Lungu wa Zambia akisalimiana na Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba.

 Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu Bw. Gerson Msigwa akisherehesha hafla hiyo.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia.

 Rais Edgar Lungu wa Zambia akigonganisha glasi na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan.

 Wimbo wa Taifa .

 Viongozi wakiwa wamesimama wakati wimbo wa Taifa wa Zambia ukipigwa.

 Viongozi wa vikosi vya ulinzi na usalama pamoja na Mkuu wa Itifaki wa Zambia wakiwa wamesimama kwa wimbo wa Taifa.
 
 Sehemu ya Mawaziri waliohudhuria wakiwa wamesimama.

 Viongozi wakiwa wamesimama.

 Makatibu wakuu na sehemu ya ujumbe wa Zambia.

 Wageni waalikwa na viongozi wa vyama vya siasa.

 Baadhi ya mabalozi mbalimbali waliohudhuria.

 Wageni mbalimbali.

 Mabalozi mbalimbali.

 Mabalozi na maafisa wa Wizara ya Mambo ya Nje.
 
 Wafanyabiashara na viongozi wa taasisi mbalimbali.

  Wafanyabiashara na viongozi wa taasisi mbalimbali na maafisa wa Wizara ya Mambo ya nje.

 Viongozi wa taasisi mbalimbali.

 Viongozi wa kidini na wageni mbalimbali.

 Makatibu wakuu na Balozi wa Tanzania nchini Zambia Mhe. Grace Mujuma.

 Rais Dkt Magufuli akigonganisha glasi na mgeni wake Rais Edgar Lungu wa Zambia.

 Mrisho Mpoto na Banana Zorro na Mjomba band akitumbuiza.

 Mrisho Mpoto akighani wimbo maalumu.

 Rais Edgar Lungu akiagana na viongozi. 

 Rais Edgar Lungu akiagana na viongozi.
 
 Rais Edgar Lungu akiagana na Rais wa Zanzibar Dkt Ali Mohamed Shein.

 Rais Edgar Lungu akiagana na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan.

 Rais Edgar Lungu akisindikizwa na mweyeji wake Rais Dkt Magufuli.

 Rais Mstaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi na Rais Mstaafu wa Zanzibar Dkt. Amani Abeid Karume wakiondoka baada ya dhifa.

Rais Dkt. Magufuli, Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, Rais Mstaafu Dkt.  Jakaya Mrisho kikwete na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi wakifurahia jambo mara baada ya dhifa hiyo ya Kitaifa Ikulu jijini Dar es salaam. 

PICHA NA IKULU

No comments

Powered by Blogger.