Header Ads

Muswada wa Sheria ya Huduma za Habari Umewasilishwa Bungeni Mjini Dodoma

 Mwenyekiti wa Jukwaa la Habari Tanzania (TEF), Theothil Makunga (kulia), akiwa na wajumbe wa jukwaa hilo, Jane Mihanji (katikati) baada ya kutoka bungeni Dodoma jana, kusikiliza mwenendo wa majadiliano ya Muswada wa Sheria ya Huduma za Habari.

 Mwenyekiti wa Bunge, Andrew Chenge akiongoza majadiliano hayo.

 Waziri wa Elimu Joyce Ndalichako akiwasilisha mchango wake.

 Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Medard Kalemani (kulia) akiwa na wapiga kura wake waliotembelea Bunge jana.

 Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye akiwasilisha bungeni Dodoma, Muswada wa Sheria ya Huduma za Habari.

 Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye akipongezana na naibu wake, Anastazia Wambura baada ya kuwasilisha muswada huo.


 Mbunge wa Tunduma, Mwakajoka akisalimiana na Mbunge wa Busanda, Leonecia Butimbaa.

 Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye (katikati) akijadiliana jambo na Mjumbe wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Jane Mihanji (kulia) na Saedy Kubenea kwenye viwanja vya Bunge, Dodoma, baada ya kuwasilisha Muswada wa Sheria ya Huduma za Habari.

 Waziri Kivuli wa Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo, Joseph Mbilinyi akiwasilisha bungeni, Dodoma jana, maoni ya Kambi rasmi ya Upinzani kuhusu Muswada wa Sheria ya Huduma za Habari ya Mwaka 2016.

No comments

Powered by Blogger.