Header Ads

VPL: Klabu ya MAJIMAJI yaendelea Kufanya Vibaya yakubali Kichapo cha MTIBWA Sukari


Salim Mbonde akiindikia mtibwa goli la kwanza katika dimba la majimaji, Mjini Songea.

    Beki Kasian Ponera akiondoa mpira katika hatari.

Leo majimaji ilikuwa mwenyeji wa mtibwa sugar kutoka morogoro lakini imejikuta ikiangukia tena pua katika mchezo huo, kwa kichapo cha magoli mawili kwa moja kutoka kwa wakata miwa hao kutoka mtibwa.

Katika dakika ya 30 mchezajia aliyewahi kuitumikia timu ya majimaji robo ya msimu uliopita SALIM  MBONDE akandika goli lake la kwanza ,dakika ya arobaini na 43 hiv RICHARD MANDAWA akweka tena mpira nyavuni kwa majimaji ndipo kocha  PETER MUHINA  akamtoa  golikipa  FLOTHEUS MAHUNDI  na nafasi yake kuichukua  AMAN  SIMBA lakini kabla timu hizo hazija enda mapumzia mlinzi BAHATI  YUSUF afunga goli la kufuta macho .

Kipindi cha pili si mtibwa wala majimaji wenyeji  hakuna aliyepata nafasi ya kufunga mpaka kipenga cha mwisho cha AHMAD SEFU mtibwa suger 2 majimaji moja.

No comments

Powered by Blogger.