tiGO FIESTA 2016 yaacha Historia Kwa Wakazi wa Shinyanga
| Msanii wa Bongo Fleva Linah akiwaburudisha wakazi wa Shinyanga katika Tamasha la Tigo Fiesta lililofanyika katika Uwanja wa Nje wa Kambarage Mjini Shinyanga mwishoni wa wiki hii. |
| Billnas na Linah wakiimba kwa pamoja katika jukwaaa la Tigo Fiesta. |
| Madee akilishambulia jukwaa la Tigo Fiesta huku mashabiki wakiishangilia wakati wa Tamasha la Tigo Fiesta lililofanyika mwishoni wa wiki hii Mjini Shinyanga. |
| Niki wa Pili akionesha umahiri wa mashairi katika jukwaa la Tigo Fiesta mwishoni wa wiki hii mjini Shinyanga. |
| Msanii nguli wa Bongo Fleva na mkazi wa Shinyanga Noorah akitumbuiza katika Jukwaa la Tigo Fiesta mapema mwishoni wa wiki iliyopita . |
| Benpol na Jux wakiimba kwa pamoja wimbo wa NAKUCHANA katika jukwaa la Tigo Fiesta viwanja vya Kambarage Mjini Shinyanga. |
| Chemical akionesha umahiri wake na kuburudisha umati wa wakazi wa Shinyanga waliohudhuria Tamasha la Tigo Fiesta mapema mwishoni wa wiki iliyopita. |
Post a Comment