Rajab na Kithara Taarab ya Zanzibar Walivyotumbuiza Jijini Washington, MAREKANI
Kundi zima la Rajab and Kithara Taarab lenye kupiga mziki wa mahadhi ya mwambao kutoka Zanzibar, walipotumbuiza siku ya Jumanne Septemba 6, ndani ya ukumbi wa The John F. Kennedy Center for the Performing Arts Jijini Washington.
Rajab and Kithara watakua hapa Marekani mwezi mzima wakitumbuiza States mbali mbali hapa Marekani.
Mmoja wa waimbaji wa kundi zima la Rajab and Kithara, Saada Nassor, akitumbuiza wimbo wa Chungu, ndani ya ukumbi wa The John F. Kennedy Center for the Performing Arts iliopo Jijini Washington.
Saada Nassor, akionyesha pozi wakati anawatumbuzia Wamarekani.
Makame Faki akitumbuiza wimbo wa "Salaam Aleikum".
Makame Faki akiimbaa wimbo wa "Salaam Aleikum".
Wataalamu wa upigaji wa vyombo vya mahadhi ya mwambao, mpiga ngoma Foum Faki, (kushoto) akiwa na mpiga bass kitaa, Daudi Shahil, wakitumbuiza wageni waalikwa.
Kundi zima la Rajab and Kithara Taarab, Zanzibar walivyotumbuiza Jijini Washington.
Mtaatam wa wa quanun Zanzibar ambae pia ni kiongozi wa kundi zima la Rajab and Kithara, Rajab Suleiman akitambulisha kundi zima la Rajab and Kithara.
Post a Comment