Header Ads

TASWIRA KUTOKA BUNGENI MJINI DODOMA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akijibu maswali Bungeni mjini Dodoma Mei 19, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisikiliza swali kutoka kwa Kiongozi wa upinzani bungeni  Freeman Mbowe , mjini Dodoma Mei 19, 2016.
Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Mhongo akiwasilisha Makadirio ya Matumizi ya wizara hiyo bungeni mjini Dodoma Mei 19, 2016.
aziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Ulanga, Goodluck Mlinga kwenye viwanja vya bunge jini Dodoma Mei 19 , 2016. Wapli kushoto  ni Waziri wa Ardhi,, nyumba  na Maendeleo ya Makazi,, William Lukuvi na watatu kushoto ni Mbunge wa Mbeya mjini, Joseph Mbilinyi. 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Bukoba Mjini Wilfred Rwakatare kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Mei 19, 2016.

(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments

Powered by Blogger.