Naibu Katibu Mkuu wa CCM, Rajab Luhwavi afanya Ziara MANYARA
![]() |
| Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rajab Luhwavi (kulia) akizungumza na Mkuu wa mkoa wa Manyara Joel Bendera alipoenda ofisini kwa mkuu huyo wa mkoa, mjini Babati leo Mei 30, 2016. |
![]() |
| Katibu wa CCM wa mkoa wa Manyara Ndekobali akishukuru baada ya mazungumzo hayo |
![]() |
| wakiagana baada ya mazungumzo |
![]() |
| Luhwavi akimaliza kukagua jengo hilo. |
![]() |
| Baadhi ya viongozi wa CCM wakimkaribisha Naibu Katibu Mkuu wa CCM, Rajabu Luhwavi kuzungumza nao leo katika ukumbi wa Ofisi ya CCM mkoa wa Manyara mjini Babati. |
![]() |
| Luhwavi akiingia ukumbini. |
![]() |
| Luhwavi akiwa tayari ukumbini. |
![]() |
| Katibu wa CCM wa mkoa wa Manyara, Ndekobali akitoa neno la utangulizi. |
![]() |
| Baadhi ya watunishi wa CCM kutoka wilaya za mkoa wa Manyara wakimsikiliza Luhwavi. |
![]() |
| Masoud Mbengua kutoka Kitengo cha Usalama na Maadili, Makao Makuu ya CCM akizungumza kwenye kikao hicho. |
![]() |
| Mwenyekiti wa CCM wa mkoa wa Manyara akimkaribisha Luhwavi kuzungumza. |
![]() |
| Baadhi ya wafanyakazi wakichukua dondoo, wakati Luhwavi akizungumza nao. (Picha zote na Bashir Nkoromo) |

























Post a Comment