Header Ads

Serikali Kujenga Barabara za Juu ( FLY OVER ) Saba Jijini Dar es Salaam

Waziri wa Ujenzi, UchukuzinaMawasiliano, Prof. Makame Mbarawa akifafanua jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani),kuhusu mkakati wa kupunguza msongamano katikati ya jiji la Dar es salaam leo ofsini kwake. Kushoto kwake ni Katibu Mkuu wa wizara hiyo (sektayaUjenzi), Eng. Joseph Nyamhanga.
Meneja Mradi wa Daraja la Nyerere kutoka Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), Eng. Karim Mattaka, akitoa maelezo kwa Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Prof. Makame Mbarawa(kushoto), wakati alipotembelea daraja hilo leo jijini Dar es salaam.
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Prof. Makame Mbarawa (kushoto), akisikiliza maoni kutoka kwa wakazi wa Kigamboni wakati wakisubiri kivuko cha MV Kigamboni. 

No comments

Powered by Blogger.