Header Ads

Mkutano wa AFRICA WORLD HERITAGE wafanyika Jijini Arusha

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akifungua mkutano wa 'Africa World Heritage' kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) Mei 31, 2016. Kulia ni Waziri wa Maliasili na Utalii, Profesa Jumaane Maghembe.
Baadhi ya Washiriki wa Mkutano wa  wa' Africa World Heritage ' wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  wakati alipofungua mkutano wao kwenye kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) Mei 31, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya washiriki wa Mkutano wa 'Africa World Heritage'  baada ya kuufungua kwenye kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) Mei 31, 2016. Kulia kwake ni Waziri wa Maliasili na Utalii, Profesa Jumanne Maghembe na kushoto ni Mkuu wa Arusha, Felix Tibenda.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Rais wa Bermuda Emmissions Control Limited, Bw. Donal Smith baada ya kufungua mkutano wa 'Africa World Heritage' kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC), Mei 31, 2016.
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwapungia wasanii waliojitokeza kumlaki wakati alipowasili kwenye Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Arusha (AICC) kufungua mkutano wa 'Africa World Heritage'  mjini Arusha Mei 31, 2016. Kulia ni Waziri wa Maliasili na Utalii, Profesa Jumanne Maghembe.

(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments

Powered by Blogger.