Header Ads

Balozi wa Oman amaliza Muda wake hapa Nchini

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Balozi wa Oman Nchini Tanzania Mhe. Saud Ali Mohamed Al-ruqaishi, wakati Balozi Saud alipofika Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu Dar es salaam leo Mei 25,2016 kwa ajili ya kuaga baada ya kumaliza muda wake wa kazi hapa Nchini.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Balozi wa Oman Nchini Tanzania Mhe. Saud Ali Mohamed Al-ruqaishi, wakati Balozi Saud alipofika Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu Dar es salaam leo Mei 25,2016 kwa ajili ya kuaga baada ya kumaliza muda wake wa kazi hapa Nchini.

(Picha na OMR)

No comments

Powered by Blogger.