Header Ads

Siku ya Afrika yaadhimishwa Jijini Dar es Salaam

DSC_4273
Social Media Administrator wa MultiChoice (DStv) Tanzania, Shumbana Walwa akiwa katika pozi wakati wa hafla hiyo ya siku ya Afrika ambapo wadau mbalimbali walijumuika kwa pamoja kusheherekea siku hiyo iliyofanyika usiku wa Mei 27. Jijini Dar es Salaam. (Picha na Modewjiblog)
Kampuni ya MultiChoice Tanzania wasambazaji wa bidhaa za DStv nchini usiku wa Mei 26 wameweza kujumuika kwa pamoja katika kusheherekea siku ya Afrika kwa kukutana na wadau wake Jijini Dar es Salaam na kufurahia paamoja fahari ya Afrika.
Wadau hao ni pamoja na wanahabari, Waendesha vipindi vya televisheni na radio, wasanii na baadhi ya wateja ambao walijumuika kwa pamoja usiku maalum ambao pia walipata kula na kunywa pamoja na kubadilishana mwazo.
Awali wakati wa ufunguzi wa hafla hiyo maalum, Meneja Uhusiano na Masoko wa MultiAChoice Tanzania, Bi. Furaha Samalu alieleza kuwa, MultiChoice wanajisikia fahari katika ushiriki wao wa kuleta mabadiliko na maendeleo tangu kuanzishwa hapa Barani Afrika miaka 20 iliyopit huku ldngo kuu ni kuwa na maudhui ya kila siku ya kiafrika.
Aidha, Bi. Furaha Sumalu alibainisha kuwa, kwa kuthamini Afrika, hata chaneli wameweka zinazolenga Afrika zikiwemo: Africa Magic, Maisha Magic Bongo, Maisha Magic East ambapo ndani ya chaneli hizo zimekuwa na mtazamo tofauti kuhusu Afrika hivyo watanzania na waafrika kwa ujumla ni wakati wa kuchangamkia bidhaa bora za DSTV ilikufurahia uhondo huo wa Kiafrika na mambo mbalimbali yanayotokea ndani ya Afrika nan je ya Afrika.

Imeandaliwa na Andrew Chale

Tazama tukio hilo hapa:
DSC_4291
Meneja wa Fedha wa kampuni ya Multichoice Tanzania, Bw. Francis Senguji akiwa katika pozi wakati wa hafla hiyo ya siku ya Afrika ambapo wadau mbalimbali walijumuika kwa pamoja kusheherekea siku hiyo iliyofanyika usiku wa Mei 27. Jijini Dar es Salaam.

DSC_4286
Meneja Mauzo wa Kampuni ya MultiChoice Tanzania, Salum Salum akiwa katika pozi wakati wa hafla hiyo ya siku ya Afrika ambapo wadau mbalimbali walijumuika kwa pamoja kusheherekea siku hiyo iliyofanyika usiku wa Mei 27. Jijini Dar es Salaam.

DSC_4283Mchora vibonzo, Bwana Masoud Kipanya akiwa katika pozi wakati wa hafla hiyo ya siku ya Afrika ambapo wadau mbalimbali walijumuika kwa pamoja kusheherekea siku hiyo iliyofanyika usiku wa Mei 27. Jijini Dar es Salaam.

DSC_4707
Msanii wa muziki bongo fleva Queen Darleen ambaye ni ndugu na msanii wa muziki 'Diamond Platnumz' akiwa katika pozi na mmoja wa mashabiki wake wakati wa hafla hiyo ya siku ya Afrika ambapo wadau mbalimbali walijumuika kwa pamoja kusheherekea siku hiyo iliyofanyika usiku wa Mei 27. Jijini Dar es Salaam.

DSC_4352
Mdau na Mwanahabari Sylvester akipata picha kwenye red Carpet akiwa katika pozi wakati wa hafla hiyo ya siku ya Afrika ambapo wadau mbalimbali walijumuika kwa pamoja kusheherekea siku hiyo iliyofanyika usiku wa Mei 27. Jijini Dar es Salaam.

DSC_4705
Msanii wa muziki bongo fleva Queen Darleen ambaye ni ndugu na msanii wa muziki 'Diamond Platnumz' akiwa katika pozi na Mwandishi Mwandamizi wa mtandao wa Modewjiblog, Bwana Andrew Chale wakati wa hafla hiyo ya siku ya Afrika ambapo wadau mbalimbali walijumuika kwa pamoja kusheherekea siku hiyo iliyofanyika usiku wa Mei 27. Jijini Dar es Salaam.

DSC_4309
Mshiriki wa Tanzania kwenye Shindano la Big Brother III, Latoya Lyakurya, akiwa katika pozi wakati wa hafla hiyo ya siku ya Afrika ambapo wadau mbalimbali walijumuika kwa pamoja kusheherekea siku hiyo iliyofanyika usiku wa Mei 27. Jijini Dar es Salaam.

DSC_4689
Wadau wakisakata rhumba.

IMGS2383
Wasanii wa kundi la NIMUJO Edutaiment wakicheza ngoma za makabila mbalimbali wakati wa hafla hiyo.

No comments

Powered by Blogger.