Header Ads

TCRA yawanoa Wadau wa Mawasiliano Kanda ya Ziwa Kuhusu Simu Bandia

Wadau wa Mawasiliano Kanda ya Ziwa, wakiwa katika picha ya pamoja katika Semina juu ya utoaji wa elimu juu ya simu bandia (fake) na halali (orginal) ulioandaliwa na TCRA, kabla ya kusitisha matumizi ya simu bandia mwezi ujao.

Mamlaka ya Mawasiliano nchini (TCRA), imeendelea kuwakumbusha watumiaji wa simu za mkononi kuhakiki simu zao kabla mamlaka hiyo haijazima simu bandia ifikapo Juni 16 mwaka huu.

No comments

Powered by Blogger.