Header Ads

Waziri wa Habari NAPE NNAUYE akutana na Balozi wa NORWAY Hanne-Marie Kaarstad

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mh. Nape Nnauye kushoto akiongea na Balozi wa Norway nchini Tanzania Hanne-Marie Kaarstad wakati wa Kikao kilichofanyika Ofisini kwa Waziri,katika kikao hicho Norway iliahidi kuendelea kudumisha ushirikiano na Tanzania katika sekta ya utamaduni, Sanaa na Michezo.
Balozi wa Norway nchini Tanzania Hanne-Marie Kaarstad kulia akiongea na  Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mh. Nape Nnauye kushoto wakati wa Kikao kilichofanyika Ofisini kwa Waziri,katika kikao hicho Norway iliahidi kuendelea kudumisha ushirikiano na Tanzania katika sekta ya utamaduni, Sanaa na Michezo. 

(Picha na Benjamin Sawe-WHUSM).

No comments

Powered by Blogger.