Header Ads

SSRA yaanza Kupokea Malalamiko ya Wanachama kwa Njia ya KI - ELEKTRONIKI

Mkurugenzi wa Tafiti,Tathmini na Sera wa Mamalaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii Bw. Ansgar Mushi akitoa wito kwa wanachama wa Mifuko ya hifadhi za jamii kote nchini kutohama mfuko wanaokuwa wanachangia mara wanapohama kutoka Taasisi moja kwenda nyingine.
Afisa Tehama toka Mamalaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii Bw. Ernest Masaka akiwaeleza waandishi wa habari kuhusu utaratibu wa mamalaka hiyo kupokea malalamiko kutoka kwa wateja wa mifuko ya hifadhi za jamii kwa njia ya mtandao wa simu kupitia namba 0762440706 ambapo mamlaka hiyo imepanua wigo wa kushughulikia matatizo ya wanachama kwa wakati muafaka mara yanapowasilishwa.kulia ni Afisa Uhusiano wa Mamlaka hiyo Bi.  Agnes Lubuva na Kushoto ni Mkurugenzi wa Tafiti,Tathmini na Sera wa Mamalaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii Bw. Ansgar Mushi.

No comments

Powered by Blogger.