Header Ads

Polisi Wapambana na Wananchi Vurugu za Barabara ya Mkwajuni KINONDONI

MKW1
MKW3
Katika maeneo ya Mkwajuni Kinondoni baadhi ya wananchi wamefunga barabara wanachoma matairi kwa kile wanachodai kupinga bomoa bomoa Askari wako eneo la tukio wakijaribu kuwazuia kufanya matukio hayo na hakuna magari yanayoweza kupita eneo hilo kutokana na vurugu zilizoababisha  kufungwa kwa barabara hiyo ya kutoka Moroco kwenda Magomeni.

No comments

Powered by Blogger.