Header Ads

Mpango Mkakati wa Wafanyabiashara Duniani Wazinduliwa na Makamu wa Rais Mama SAMIA SULUHU

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akihutubia kwenye uzinduzi wa mpango mkakati wa Umoja wa Mataifa unaohimiza Wafanyabiashara Duniani kufanya shughuli za kwa uadilifu (UNGC) uzinduzi huo umefanyika leo Januari 19,2016 katika Hoteli ya Hyatt Regency jijini Dar es salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akionesha kitabu cha mpango mkakati baada ya kuzindua mpango mkakati wa Umoja wa Mataifa unaohimiza Wafanyabiashara Duniani kufanya shughuli za kwa uadilifu (UNGC) uzinduzi huo umefanyika leo Januari 19,2016 katika Hoteli ya Hyatt Regency jijini Dar es salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Mwenyekiti wa Jukwaa la mpango Mkakati wa Wafanyabiashara Tanzania Patrick E. Ngowi kabla ya kuzindua mpango mkakati wa Umoja wa Mataifa unaohimiza Wafanyabiashara Duniani kufanya shughuli za kwa uadilifu (UNGC) uliofanyika leo Januari 19,2016 katika Hoteli ya Hyatt Regency jijini Dar es salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Mwenyekiti wa Jukwaa la mpango Mkakati wa Wafanyabiashara Tanzania Patrick E. Ngowi kushoto, Mwakilishi mkaazi wa Umoja wa Mataifa Alvaro Rodriguez katikati na msaidizi wa Balozi wa Zurich Nchini Florence T. Mattli  kabla ya kuzindua mpango mkakati wa Umoja wa Mataifa unaohimiza Wafanyabiashara Duniani kufanya shughuli zao kwa uadilifu (UNGC) uliofanyika leo Januari 19,2016 katika Hoteli ya Hyatt Regency jijini Dar es salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan katikati akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi na Washiriki wa mkutano wa mpango mkakati wa Umoja wa Mataifa unaohimiza Wafanyabiashara Duniani kufanya shughuli zao kwa uadilifu (UNGC) uliofanyika leo Januari 19,2016 katika Hoteli ya Hyatt Regency jijini Dar es salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na baadhi ya Viongozi na Washiriki wa mkutano wa mpango mkakati wa Umoja wa Mataifa unaohimiza Wafanyabiashara Duniani kufanya shuhuli zao kwa uadilifu (UNGC) uliofanyika leo Januari 19,2016, nje ya ukumbi wa mikutano katika Hoteli ya Hyatt Regency jijini Dar es salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na baadhi ya waandishi wa Vyombo mbalimbali vya Habari baada ya kufungua mkutano wa mpango mkakati wa Umoja wa Mataifa unaohimiza Wafanyabiashara Duniani kufanya shughuli zao kwa uadilifu (UNGC) uliofanyika leo Januari 19,2016 katika Hoteli ya Hyatt Regency jijini Dar es salaam. kulia ni Mwenyekiti wa Jukwaa la mpango Mkakati wa Wafanyabiashara Tanzania Patrick E. Ngowi.

  (Picha na OMR)

No comments

Powered by Blogger.