Header Ads

Dkt ASHA-ROSE MIGIRO afanya Mazungumzo na Balozi wa Ufaransa Makao Makuu ya CCM

Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa, anayeshughulika na Mambo ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa (SUKI) Ndugu Asha-Rose Migiro, akimkaribisha Balozi wa Ufaransa  Nchini Tanzania, Malika Berak, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba Dar es Salaam, leo.
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa, anayeshughulika na Mambo ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa (SUKI) Ndugu Asha-Rose Migiro, akizungumza na Balozi wa Ufaransa  Nchini Tanzania, Malika Berak, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba Dar es Salaam.

Balozi akisaini kitabu cha wageni....

Balozi akisaini kitabu wa wageni.

Mazungumzo yakiendelea.....

Balozi huyo akimsalimia Ofisa wa Chama katika Idara ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa (SUKI), Gift Msuya.

Balozi huyo akimsalimia Ofisa wa Chama katika Idara ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa (SUKI), Salehe Mhando.

Wakijiweka sawa kwaajili ya kuendelea na mazungumzo.

Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa, anayeshughulika na Mambo ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa (SUKI) Ndugu Asha-Rose Migiro, akizungumza na Balozi wa Ufaransa  Nchini Tanzania, Malika Berak, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba Dar es Salaam, leo. 

PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO

No comments

Powered by Blogger.