Header Ads

THOMAS MUNIS AAHIDI MAKUBWA NDANI YA CCM ARUSHA

SAM_7218
Kada maarufu wa chama cha mapinduzi ccm na mfanyabiashara wa madini mkoani Aarusha Thomas Munis akichukua fomu ya kuwania nafasi ya uwenyekiti wa mkoa ndani ya chama hicho hivikaribuni,  huku akiahidi mabadiliko makubwa ikiwemo kurudisha uhai wa chama katika jimbo la Arusha,kulia ni katibu msaidizi mkuu Omary Billaly
SAM_7221
Mgombea wa nafasi ya uwenyekiti wa mkoa ndani ya chama cha mapinduzi Mkoani Arusha Thomas Munis akionyesha fomu alizochukua kwa waandishi wa habari katika ofisi hizo jijini Arusha
SAM_7250
Thomas Munis akiongea na vyombo vya habari kuhusu nia yake ya kuchukua fomu hiyo ya kuwania nafasi ya uwenyekiti mkoa wa Arusha ambapo amehaidi ushirikiano mkubwa kwa wananchama pamoja na viongozi walipo katika kuleta mabadiliko ndani ya chama
……………………………………………………….
 
(Habari picha na Pamela wa jamiiblog)
 
OFISI ya chama cha mapinduzi, ccm, mkoa wa Arusha imetoa orodha ya wanachama 25,waliochukua fomu za kugombea uongozi ngazi ya mkoa kuziba nafasi ambazo ziko wazi ili kukamilisha safu ya uongozi ya Chama mkoa
Akiongea na waandishi wa habari ofisini kwake hivi karibuni katibu msaidizi mkuu, Omary Billaly aliwataja waliochukua fomu na kurejesha nafasi ya mwenyekiti wa mkoa ndani ya ccm kuwa niJacob Meja Mollel, Juma Saidi Lossin,Victor Nicodemas Mollel, John Danielson Palangyo, Rabiel Fanuel Mbise,Hamis Saidi,Mussa Hamis Mkanga. Wengine ni Ally Jumbe, Metui Ailo ole Shaudo,Mustafa
Panju, Michael Lekule Laizer,Kenedy Danford Mpumilwa ,Raphael Long’idu Mollel, Karim Ephraim MushiGodson Loning’o,Thomas Munis,Emanuel Makongoro Lusenga. Wengine ni Henry Obed Mejooli,Veraikunda Zablon Urio,Babu Mohamed Kitume, Kisali Eliah, Bernadeth Silas Changulu,,Hafidhi Mwango Bakary,Agnes Gidion Mollel, na Ndewirwa Soori Mbise.
Billaly aliongeza kuwa wanachama wawili ambao ni Shaaban Masawe na Rajab Mshana hawakurudisha fomu hizo Walichukua fomu za kugombea ukatibu wa siasa na uenezi mkoa wa Arusha ni Peter Mathew Kasella, Veraikunda Zablon Urio,Gerald Eliaika Munisi, Lightness Ahadiel Mweteni,Japhet Zakaria Moirani, Anna Agatha Musuya,Jasper Augustino Kisumbua,Zam zam Ramadhan Abdalah, Emanuel Makongoro Lusenga,Amani Silanga Mollel, Victor Nicodemas Mollel, Ally Juma Mwinyimvua. Wengine ni Hamis Said Migire,Julius Laanyun Mollel,Cylius Daniel Mlekwa,Ahmed Mwita Chacha,Semmy Robson Kiondo,Revocutus Wiliam,Palapala ,Emanuel Abel Sirikwa,Loata Erasto Sanare,Joshua Hungura Mbwana,Njechele Eliakim Laizer.Godson Solomon Mollel, (Mzunguu). Wengine Shaaban Omar Mdoe, Wahabu Hemed MbagaaZIZI Abdalah Mfundo,Abel Smwel Kalama,Justus Enock Rwandezi,Sylevesta Kornen Meda, Lobora Petro Ndarapoi, na Victor Livingston Njau.

No comments

Powered by Blogger.