Rais Dkt JOHN MAGUFULI afunga Zoezi la Onesha Uwezo Medani Mkoani ARUSHA
![]() |
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John
Pombe Magufuli akisoma bango mara baada ya kukabidhiwa na mwananchi mmoja
katika eneo la Kona ya Nairobi Mkoani Arusha.
|
![]() |
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John
Pombe Magufuli akihutubia wananchi wa Mianzini Mkoani Arusha.
|
![]() |
Umati mkubwa uliojitokeza katika eneo la Mianzini Mkoani
Arusha.
|
![]() |
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John
Pombe Magufuli akisalimiana na baadhi ya Maafisa wa jeshi katika tukio hilo la
Ufungaji.
|
![]() |
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John
Pombe Magufuli akielekea kwenye uwanja wa maonesho akiwa pamoja na Mkuu wa
Majeshi ya Ulinzi Nchini General Davis Mwamunyange.
|
![]() |
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John
Pombe Magufuli katikati akishuhudia matukio ya zoezi la Onesha Uwezo Medani
Monduli Mkoani Arusha.
|
![]() |
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John
Pombe Magufuli akipewa maelezo ya zana mojawapo ya Kivita katika Zoezi la
Onesha Uwezo Medani Mkoani Arusha.
Picha
na IKULU
|
Post a Comment