Header Ads

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu JENISTA MHAGAMA afanya Ziara Katika Shirika la Tija ( NIP )

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Uratibu na Bunge; Kazi, Ajira, Vijana na Watu wenye Ulemavu, Mhe. Bibi Jenista Mhagama (Mb) akisalimiana na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Tija la Taifa (NIP) Bw. Novatus S. Massao alilitembelea Shirika hilo Januari 15, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Uratibu na Bunge; Kazi, Ajira, Vijana na Watu wenye Ulemavu, Mhe. Bibi Jenista Mhagama (Mb) akiweka saini kwenye kitabu cha wageni alipotembelea Shirika la Tija la Taifa (NIP) Januari 15, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Baadhi ya Wafanyakazi wa Shirika la Tija la Taifa (NIP) wakimsikiliza Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Uratibu na Bunge; Kazi, Ajira, Vijana na Watu wenye Ulemavu, Mhe.Jenista Mhagama (Mb) hayupo pichani wakati wa ziara yake katika shirika hilo, Januari 15, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Uratibu na Bunge; Kazi, Ajira, Vijana na Watu wenye Ulemavu, Mhe. Bibi Jenista Mhagama (Mb) akieleza jambo wakati alipokutana na wafanyakazi wa Shirika la Tija la Taifa (hawapo pichani) alipolitembelea shirika hilo Januari 15, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

No comments

Powered by Blogger.