Header Ads

Msafara wa Rais Dkt JOHN MAGUFULI wasimamishwa mara kwa Mara na Wakazi wa Jiji la ARUSHA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa TANZANIA Dkt  JOHN MAGUFULI  akiwa amevalia sare za Kijeshi.

Akiwa njiani Kuelekea Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi (TMA) Monduli alisimamishwa na Wananchi katika maeneo ya SANAWARI, TEKNIKO, NGARENARO, MBAUDA, MAJENGO na KISONGO waliokuwa na shauku ya kutaka kumsikiliza.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt JOHN MAGUFULI  akizungumza na Wananchi wa Jiji la Arusha Mapema leo wakati msafara wake uliposimamishwa na Wananchi akiwa njiani Kuelekea Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi (TMA) Monduli.

Ambapo Pamoja na Mmambo mengine hapo Kesho Januari  23 anatarajiwa kutunuku Kamisheni kwa maafisa Wanafunzi wa Chuio cha Mafunzo ya Kijeshi Monduli Kundi la 57 / 15.
Sehemu ya Umati wa Wananchi Wakazi wa Jiji la Arusha wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt JOHN MAGUFULI.

No comments

Powered by Blogger.