Header Ads

Katibu Mkuu Wizara ya HABARI akutana na Makamu wa Rais wa Fifa SALMAN Bin EBRAHIM Al KHALIFA

Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel kulia akiongea na Makamu wa Rais wa Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) Bw. Salman Bin Ebrahim Al Khalifa katikati kuhusiana na maendeleo ya michezo nchini, kushoto ni Rais wa Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania Bw. Jamali Malinzi. 
Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel kulia akiongea na Makamu wa Rais wa Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) Bw. Salman Bin Ebrahim Al Khalifa kushoto kuhusiana na maendeleo ya michezo nchini,katikati ni Rais wa Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania Bw. Jamali Malinzi. 
Makamu wa Rais wa Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) Bw. Salman Bin Ebrahim Al Khalifa katikati akiongea na Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel kulia kuhusiana na maendeleo ya michezo nchini, wa kwanza kushoto ni Rais wa Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania Bw. Jamali Malinzi.

(Picha na Benjamin Sawe-WHUSM)

No comments

Powered by Blogger.