Header Ads

Rais Dkt JOHN MAGUFULI awaapisha Makatibu na Manaibu Katibu Wakuu IKULU

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Dkt. Lauren Josephat Ndumbaro  kuwa Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Utumishi na Utawala Bora Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Mhandisi Joseph  Maseke Nyamhanga kuwa Katibu Mkuu Ujenzi, Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Jaji Wakili Mkuu Meja Jenerali Projest Anatory Rwegasira kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Amon Anastaz Mpanju ambaye ni mlemavu wa macho  kuwa Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Katiba na Sheria Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Makatibu Wakuu na Manaibu Makatibu Wakuu aliowaapisha Ikulu jijini Dar es Salaam. Wengine katika picha ni Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu Hassan wa pili kutoka kushoto na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa wa pili kutoka kulia.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria Ndugu Amon Mpanju ambaye ni mlemavu wa macho Ikulu jijini Dar es Salaam. 

Picha na IKULU

No comments

Powered by Blogger.