Header Ads

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu JENISTA MHAGAMA akutana na Baadhi ya Mawaziri

Waziri wa nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Uratibu na Bunge; Kazi, Ajira, Vijana na Watu wenye Ulemavu, Mhe. Bibi Jenista Mhagama (Mb) akifuatilia maelekezo ya maeneo muhimu ya kujadili kutoka kwa Naibu Waziri (Watu wenye Ulemavu) Mhe. Dkt. Abdallah Possi wakati wa kikao cha kujadili hali ya watu wenye ulemavu wa ngozi nchini , kilichofanyika Desemba 31, 2015 Ukumbi wa Ofisi ya Waziri Mkuu. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri wa nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Uratibu na Bunge; Kazi, Ajira, Vijana na Watu wenye Ulemavu, Mhe. Bibi Jenista Mhagama (Mb) (katikati) akieleza umuhimu wa kukutana na baadhi ya Mawaziri ili kujadili hali ya watu wenye ulemavu wa ngozi nchini Desemba 31, 2015 wa kwanza kushoto ni Waziri wa Elimu Sayansi Teknolojia na Ufundi Mhe. Prof. Ndalichako na wa kwanza kulia ni Naibu Waziri (Watu wenye Ulemavu) Mhe. Dkt. Abdallah Possi.
Waziri wa nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Uratibu na Bunge; Kazi, Ajira, Vijana na Watu wenye Ulemavu, Mhe. Bibi Jenista Mhagama (Mb) akisalimiana na Mkuu wa Jeshi la Polisi Kamishna Jenerali Ernest Mangu wakati wa kikao cha kujadili hali ya watu wenye ulemavu wa ngozi nchini kilichofanyika katika Ukumbi wa Ofisi ya Waziri Mkuu Desemba 31, 2015.

No comments

Powered by Blogger.