Header Ads

Timu ya CLOUDS MEDIA GROUP yawalaza Watani wake wa Jadi AZAM MEDIA kwa Bao 2-1

Mchezo Baina ya Clouds Media Group  dhidi ya Hasimu wao Azam Media Ukiendelea katika Uwanja wa Karume Jijini Dar es Salaam, ambapo Vijana wa Clouds waliibuka wababe kwa Kuifunga Azam Mabao 2-1.
Kocha wa Timu ya Clouds Media Group Fatma Likwata akifuatilia Mechi hiyo kwa Umakini kuhakikisha Ushindi Unapatikana.
Heka heka Katika mchezo huo zikiendelea ndani ya Uwanja wa Karume Jijini Dar es Salaam.....
Mchezaji wa Clouds Media Godfrey Kusolwa akitolewa Uwanjani na Daktari wa Timu hiyo Robert Lyamoja kwenda nje ya Uwanja Kupatiwa Matibabu baada ya Kuchezewa rafu, katika Mchezo huo Clouds Media iliifunga Azam Media bao 2-1.

No comments

Powered by Blogger.