Refarii
wa mchezo wa ngumi za kulipwa nchini Kondo Nassoro kulia akimnyoosha
mkono juu bondia Meshack Mwankemwa baada ya kumnyuka bondia Hamisi
mwakinyo katikati ni Promota wa ngumi za kulipwa Jay Msangi akimvalisha
mkanda bingwa huyo mpya wa Kg 66 anaetamuliwa na kamisheni ya ngumi za
kulipwa nchini TPBC kulia ni Shomari Kimbau.
|
Post a Comment