Header Ads

Bondia MICHAEL YOMBAYOMBA azikwa Kibaha mkoa wa PWANI




Makamu wa Rais wa Shirikisho la ngumi za ridhaa nchini BFT Wililo Lukelo akitoa salam za lambilambi kutoka kwa wadau wa mchezo wa masumbwi mbalimbali nchini wakati wa mazishi ya bondia Michael Yombayomba yaliyofanyika Kibaha mkoa wa Pwani jana.
Promota wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Jay Msangi akiwa akiwa amebeba jeneza la marehemu Michael Yombayomba kwa ajili ya kwenda kuzika mazishi yaliyofanyika Kibaha Mkoa wa Pwani jana Picha na SUPER D BOXING NEWS.

Waombolezaji wakipeleka Jeneza la Marehemu kwenda kuzika. 


 
Mtoto wa marehemi Michael Yombayomba Zakaria Yombayomba akiwasha mshumaa katika kaburi la baba yake Jana.  
WADAU MBALIMBALI WA MCHEZO WA MASUMBWI WAKIWA KATIKA KABURI LA BONDIA MICHAEL YOMBAYOMBA BAADA YA KUMALIZA KUZIKA KATIKA MAKABURI YALIYOPO KIBAHA MKOA WA PWANI WA TATU KUTOKA KUSHOTO NI RAJABU MHAMILA 'SUPER D' DAVID YOMBAYOMBA, OSCAR MANYUKA NA JAY MSANGI.

No comments

Powered by Blogger.