Header Ads

Mabondia TAMBA na MWAKANSOPE kuzichapa Kesho Jijini Dar es Salaam

Mabondia Ibrahimu Tamba kushoto akitunishiana misuli nas Baraka Mwakansope baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao wa ubingwa utakaofanyika manzese frends corner siku ya jumapili.
Mabondia Ibrahimu Tamba kushoto akitunishiana misuli nas Baraka Mwakansope baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao wa ubingwa utakaofanyika manzese frends corner siku ya jumapili.
Na Mwandishi Wetu
MABONDIA Ibrahimu Tamba wa Dar es salaam na Baraka Mwakansope wa Mbeya wamepima uzito kwa ajili ya mpambano wao wa ubingwa wa kg 72 utakaofanyika katika ukumbi wa frends corner manzese mpambano uho wa raundi kumi utanza saa kumi za jioni.
wakisindikizwa na mabondia mbalimbali ambapo bondia Pius Kazaula wa Morogoro atapambana na  Chisora Mawe na Vicent Mbilinyi atapambana na Said Tompoo wa Bagamoyo.
  Julius Kisarawe atapambana na Ramadhani Kumbele mpambano wa ubingwa kg 51
 
Mfaume Mfaume atamenyana na Mrisho Adam katika mpambano kg 63 raundi nne
Mohamed Kashinde atakabiliana na Twawabu Issa na Iddi Kayumba atamenyana na Manny Issa.

No comments

Powered by Blogger.