Header Ads

Bondia MBILINYI ajinadi kuendeleza Ubabe JUMAPILI

 
Na Mwandishi Wetu 
BONDIA Vicent Mbilinyi ametamba kumsambalatisha Said tompoo wa bagamoyo wakati wa mpambano wao utakaofanyika novemba 22 katika ukumbi wa frends corner manzese Dar es salaam.
bondia huyo alieweka kambi nje ya jiji la Dar es salaam amesema kuwa ajakikisha anacheza kufa na kupona kwa ajili ya kumsambalatisha bondia huyo.
Mbilinyi aliyopo katika usimamizi wa Super D Boxing Promotion amesema kwa sasa ni wakati wake kwani akina wa kumsimamisha kabisa katika mpambano huo siku hiyo kutakuwa na mapambano mengine yatakayowakutanisha bondia Pius Kazaula wa morogoro atakaezipiga na Abdalla Ruwanje.
Ramadhani Kumbele atakabiliana na Julius Kasarawe wakati Ibrahimu Tamba atamenyana na Baraka Mwakansope wa mbeya.

No comments

Powered by Blogger.