Header Ads

MAJALIWA KASSIM MAJALIWA aapishwa kuwa Waziri mkuu wa Awamu ya Tano

lu01
Rais John Magufuli  akiwa katika picha ya pamoja na Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa na mkewe  Mary Majaliwa baada ya kumwapisha Waziri Mkuu kwenye ikulu ndogo ya Chamwinomjini Dodoma Novemba 20, 2015. 

lu1
Waziri Mkuu, Majaliwa kassim Majaliwa akipongezwa na Mbunge wa Isimani, William Lukuvi baada ya kuapishwa kwenye ikulu ya Chamwino mjini Dodoma Novemba 20, 2015. 

lu02
Mke wa Waziri Mkuu, Mama Mary Majaliwa  akipongezwa na Mbunge wa Buchosa, Dkt.Charles Tizeba baada ya Waziri Mkuu, Majaliwa kassim Majaliwa  kuapishwa kwenye ikulu ya Chamwino Dodoma Novemba 20, 2015. 

lu2
Mke wa Waziri Mkuu, Mama Mary Majaliwa  akipongezwa na Mbunge wa Buchosa, Dkt.Charles Tizeba baada ya Waziri Mkuu, Majaliwa kassim Majaliwa  kuapishwa kwenye ikulu ya Chamwino Dodoma Novemba 20, 2015. 

lu3
Waziri Mkuu, Majaliwa kassim Majaliwa akipongezwa na Mbunge wa Kyela, Dkt. Harrison Mwakyembe baada ya kuapishwa kwenye ikulu ya Chamwino mjini Dodoma Novemba 20, 2015.

lu4
Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa akipongezwa na Baadhi ya waalikwa waliohudhuria sherehe za kuapishwa kwake kwenye ikulu ndogo ya Cahamwino jijini Dar es salaam Novemba 20, 2015. 

lu5
Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majliwa akipongezwa na Mwenyekiti wa CCM wa mkoa wa Lindi, Sheikh Mtopa baada ya kuapishwa kwenye ikulu ndogo ya Chamwino jijini Dar es salaam Novemba 20, 2015. 

lu6
Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa akipongezwa na Baadhi ya waalikwa waliohudhuria sherehe za kuapishwa kwake kwenye ikulu ndogo ya Cahamwino jijini Dar es salaam Novemba 20, 2015. 

lu8
Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa akipongezwa na Baadhi ya waalikwa waliohudhuria sherehe za kuapishwa kwake kwenye ikulu ndogo ya Cahamwino jijini Dar es salaam Novemba 20, 2015. 

lu10
lu9 
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments

Powered by Blogger.