Header Ads

Makamu wa Rais SAMIA SULUHU HASSANI akutana na Wana Ulingo

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na baadhi ya Wanaulingo alipokuwa akipokelewa alipowasili kwenye Ukumbi wa BOT jijini Dar es Salaam,leo Nov 26, 2015 kwa ajili ya kuhudhuria kwenye Kikao maalum kilichoandaliwa na Wanaulingo Tanzania kwa ajili ya kumpongeza . Picha na OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na baadhi ya Wanawake wanaounda Umoja wa Wanawake Wanasiasa kutoka Vyama mbalimbali vya Siasa Tanzania walio katika Mtandao wa Ulingo, wakati alipokutana nao katika kikao kilichoandaliwa na Wanaulingo hao maalum kwa ajili ya kumpongeza kilichofanyika kwenye Ukumbi wa BOT jijini Dar es Salaam,leo Nov 26, 2015. Picha na OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akishiriki kuimba wimbo maalum wa mshikamano kwa wanawake wakati wa kikao kilichoandaliwa na Wanaulingo Tanzania maalum kwa ajili ya kumpongeza kilichofanyika kwenye Ukumbi wa BOT jijini Dar es Salaam,leo Nov 26, 2015. Picha na OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akishiriki kuimba wimbo maalum wa mshikamano kwa wanawake wakati wa kikao kilichoandaliwa na Wanaulingo Tanzania maalum kwa ajili ya kumpongeza kilichofanyika kwenye Ukumbi wa BOT jijini Dar es Salaam,leo Nov 26, 2015. Picha na OMR
Baadhi ya Wanawake Wanaulingo wakimsikiliza Mhe. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, alipokuwa akiwahutubia kwenye katika kikao kilichoandaliwa na Wanaulingo hao maalum kwa ajili ya kumpongeza kilichofanyika kwenye Ukumbi wa BOT jijini Dar es Salaam,leo Nov 26, 2015. Picha na OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipokea zawadi ya picha baada ya kumalizika kwa kikao kilichoandaliwa na Wanaulingo Tanzania maalum kwa ajili ya kumpongeza kilichofanyika kwenye Ukumbi wa BOT jijini Dar es Salaam,leo Nov 26, 2015. Picha na OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Viongozi wa Mtandao wa Ulingo Tanzania, wanaounda Umoja wa wanawake Wanasiasa wa Vyama mbalimbali vya Siasa Tanzania, baada ya kumalizika kwa kikao kilichoandaliwa na Wanaulingo hao maalum kwa ajili ya kumpongeza kilichofanyika kwenye Ukumbi wa BOT jijini Dar es Salaam,leo Nov 26, 2015. Picha na OMR

No comments

Powered by Blogger.