Header Ads

Kuelekea Bunge la 11 Wabunge waendelea Kujisajili Mjini Dodoma

Baadhi ya Wabunge wakibadilishana mawazo katika Viwanja vya Bunge wakati wa zoezi la usajili wa wabunge linaloendelea mjini Dodoma.
Mbunge wa  Jimbo la Makambako Mh Deo Sanga akifanya usajili katika zoezi la usajili wa Wabuge linaloendelea katika viwanja vya Bunge mjini Dodoma.

Baadhi ya Wabunge wakibadilishana mawazo katika Viwanja vya Bunge wakati wa zoezi la usajili wa wabunge linaloendelea mjini Dodoma.  

(Picha na Benjamin Sawe)

No comments

Powered by Blogger.